Kwa tunaosoma bible na protocol za ki Mungu Nuhu asingeweza kumlani Hamu mwanae maana amezaliwa chini ya baraka ya baba yake then kwa kuwa hamu amefanya ujinga na dhambi ana hatia kwahyo mwanae hana ulinzi wa baraka ya baba yake na laana inampata kirahisi kwa maana nyingine Nuhu angemlaani hamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.