muungano ufe hakuna haja kuwalazimisha watu kuungana kama hawataki, muungano ni kama ndoa, na katika ndoa hakuna kulazimishana? Wazanzibar wapewe full authority, wamebakiza vitu vidogo sana, wana rais wao, wana bunge lao, wana chama chao cha mpira, wana wizara zao n.k.