Recent content by Mureu

  1. M

    DPP kuridhia mashtaka dhidi ya vigogo kesi za TAKUKURU?

    Lets be serious!!Hakuna anayeweza kumshitaki Yona wala Mramba, Serikali ina wenyewe na wenyewe ndio hao tuliowataja. Sasa ndugu zangu watawezaje kumshitaki waziri aliyetumwa na Rais bila ya kumshitaki Rais mwenyewe? Mkapa will never have a day in court, and so is yona and Mramba. Beside J.K made...
  2. M

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    I can't say much kwasababu kama mtu anaweza kutumia dawa za milioni mbili basi huo si ugonjwa bali gonjwa. Lakini wazawa tusishangae ndio ukubwa maana naona hizo dawa anazotumia spika wetu mtukufu ni "Dawa Spesheli" ambazo wakubwa wanatumia maana sisi wengine tunatumia "generic drugs" za india...
Back
Top Bottom