Recent content by munzebhe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kikwete ameteua wanajeshi na watu wa usalama kuwa wakuu wa tume ya uchaguzi

    Mbowe wacha Raisi wa nchi afanye kazi yake, sio lazima kila anachokifanya kikufurahishe .Endelea kufanya kapeni, wacha kulalamika kila wakati.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kufuta vyuo vya ualimu ngazi ya cheti

    Mpango wa Serikali kuvifuta vyuo vya Ualimu ngazi ya cheti lazima kujadiliwa kwa makini na wadau wote wa elimu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kujitambulisha.

    Mimi nimejiunga hivi karibuni, naomba tushirikiane kwa kuelimishana mambo mbalimbali katika maisha.
Back
Top Bottom