Recent content by munyambo p

  1. munyambo p

    JamiiForums Tanzania MU BUTAKA: Iheshabubasha bye bye

    Aha ni sawa hari harimo uburiganya bwinshi
  2. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Ukienda uhamiaji watakukamata hapo hapo wewe jichanganye
  3. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Au funga ndoa na mke wako harafu badae utaomba uraia
  4. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Mpaka hapo wewe ni mhamiaji haramu sasa kama unataka uraia rudi kwanza tafuta passport na mtaji then nenda kaombe kibali chakufanya kazi kenya anzia hapo
  5. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Sasa hapo ume over stay hilo nalo ni kosa wanaweza kukupeleka mahakamani
  6. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Unajua sheria za uhamiaji kweli?
  7. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Inawezekana hata mda waliokupa mpakani ulizidisha hapo utakua na kesi mara mbili
  8. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Kwa hio wewe unaona unavyofanya umefuata sheria?huruhusiwi hata mtu wa kenya kukuacha kwenye duka lake na kuuza
  9. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Kua na ID Ina maana huna kibali cha kuishi kenya na kufanya kazi yoyote au business hapo sasa tafuta kwanza busines permit
  10. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Sasa hapo mpaka sasa huna kitu chochote,kwanza tafuta jinsi ya kuishi kiharali ndio uanze kutafuta uraia huezi ukaomba uraia wakati wewe ni mhamiaji haramu
  11. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Sasa unanunuaje plot wakati sio raia?hiyo plot sio yako any yime unapokonywa
  12. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Kwanza unaishi kiharali au unaishi tu
  13. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Dogs Coin Airdrop

    Tarehe 26 zinakaribia kama bado hujajiunga fanya haraka ili nawewe unufaike na game https://t.me/hamsTer_kombat_bot/start?startapp=kentId6926642086
  14. munyambo p

    JamiiForums Tanzania Dogs Coin Airdrop

    https://t.me/Tomarket_ai_bot/app?startapp=r-0001fbQ0 Farm 🍅 $TOMATO with me and secure your token allocation through Tomarket.ai. Use my link to get 2,000 🍅 $TOMATO!
Back
Top Bottom