Katika ufahamu wangu na ninavyoo elewa coz zinzo kuja juu ghafla katika soko ndo kozi za kuziogopa .kutokana kwamba zikijaaa tu ..utakaaa mtaaani ....coz knakua na udadi flani ya watu wakipatikana tu....wengine mtafte njia..
Lakini cozi za kukimbilia ni coz amabzo ..hazipo juu wala chini bali ni...
Engineering zote ni designing ... So expert katika designing ni muhusika wa ile coz... Uwe elect uwe mechn uwe civil. Nacwenginewe .. .. Huwez compete part flani kwa mwenzake kila mmoja atajiweka juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.