Hakika mimi ni mmoja wao na hata jana majira ya saa mbili hivi usiku niliwapigia kwa namba yao 0764700800. Majibu yao ati wanadai kuwa wamebadilisha mtambo wa kurushia matangazo na sasa wanatumia mpya wa Makongo hivyo niizungushe Antena yangu kuelekea Makongo. Hainiingii akilini; hivi kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.