Nilifungua Marathi ya baba yangu mahakama ya mwanzo na nikakubaliwa kwa msimamizi wa mirathi husika. Baada ya kuanza kukusanya mali na madeni ya marehemu nikagundua mjane wa marehem (marehem alikuwa na wake Wengi) ameuza shamba la marehemu nikapeleka malalamiko mahakaman akaitwa na akasomewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.