Mwanapole alimfinya yule mke wake sio poa mpaka mke akasema ninapopatikana wakati huo huo akanisanua na mimi nikabidi niache kazi mara moja kwa taarifa ya mdomo na kurudi zangu Dar.
Kusakwa na wanapolo tena ambao hawana hela ni bora usakwe na JWTZ... Alooo sijarudi Arusha mpaka leo
Twende na hii chap chap kabla watu wa UKIMWI hawajaja
Mwaka 2019 nimetoka zangu Dar baada ya msoto wa kimaisha tangu nimalize chuo hakuna ajira.
Basi nimerudi home nimekaa miezi miwili hivi akaja shangazi yangu wa Mbauda, katika stori za hapa na pale akaniambia kuna watu wamikopo wanaajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.