Hivi kulikuwa hakuna hatua mbadala ya kumdhibiti huyo dereva mpaka wasimame katikati ya barabara??
walishindwaje kuchukua namba ya gari kisha waliache liende alafu wapige simu kwa kituo kinachofuata kwa msaada zaidi??
Je wana uhakika gani kama dereva alikataa nakati kile ni chombo cha moto...
Usilitaje jina la Bwana Mungu wako bure .... kama watu wanakikusanyika kwa ajili ya Mungu tena ndani ya maeneo ambayo wanayamiliki kihalali hupaswi kuwakosoa...
najua kwa akili yako utadhani wanapiga kelele... ila omba Mungu akufungue kiroho ili ujue kuwa zile huwa sio Kelele... bali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.