Recent content by mumak

  1. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jeshi la wanamaji la Urusi litapokea meli 46 za kivita na meli za msaada mnamo 2022, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Wanamaji Nikolay Yevmenov alisema jana. Kulingana na Yevmenov, hali ya kimataifa ya kijeshi na kisiasa inahitaji Urusi kuwa na meli imara na yenye usawa. Yevmenov alisisitiza hamu ya...
  2. mumak

    Maofisa wa Afya waonya mlipuko wa Kipindupindu Ukraine

    Duu huyu meya wa upande gan urusi au Ukrain ?
  3. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine inapoteza wanajeshi 200 kwa siku - msaidizi wa Zelensky https://bbc.in/3zBZFMe
  4. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine inapoteza wanajeshi 200 kwa siku - msaidizi wa Zelensky https://bbc.in/3zBZFMe
  5. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    A Moroccan Fighter, Saadun Brahim fighting for Ukraine has been sentenced to death by a separatist court in the Russian-occupied Luhansk Region of Ukraine. He was sentenced to death alongside 2 British fighters. He is a student.
  6. mumak

    Viashiria vyaonyesha Russia kesha washinda mahasimu wake

    Tofauti ya urusi na marekan Ni pale,Urusi inatandika wazungu mareken inapiga waarabu yaani wamegawana majukumu tu[emoji3][emoji3]
  7. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii Vita inaweza kufanya mwisho wa marekan ktk world power
  8. mumak

    Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Marekan baada ya kuona ukrain inapungukiwa na askar takriban 60-100 kwa siku wameamua kificha aibu kwa kupeleka hizo siraha ili urusi ikate tamaa
  9. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    The jump in yuan-ruble trading is one of a number of signs of China and Russia strengthening their ties, as they look to limit the power of the US.
  10. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hapo ndo utajua zelensk aliingizwa Cha kike na marekan hana nia njema ya kumsaidia yeye bali yupo kibiashara zaidi 'We are not going to send to Ukraine rocket systems that strike into Russia'
  11. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia yasema jaribio la makombora ya Zircon hypersonic limefanikiwa https://bit.ly/3MZgLYm #Russia #Jaribiolakombora #ZirconHypersonic #Lyman #Ukombozi #majeshi #voa #voaswahili #VolodymyrZelenskyy
  12. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kituo cha anga ya juu cha China chakataa ombi la ushiriki la Marekani Kituo cha China katika anga ya juu kitakachojengwa mwaka 2022 kimepokea maombi ya kushiriki kwenye mradi huo kutoka nchi 27, na kuruhusu nchi 18 kushiriki baada ya kutathmini huku kikikataa moja kwa moja ombi la Marekani...
  13. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanajeshi wa Urusi wauteka mji mwingine wa Ukraine https://bbc.in/39PkLfA
  14. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Night strike with MLRS by Russian Federation Armed Forces at Armed Forces of Ukraine at Stavki
  15. mumak

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanajeshi wa Ukraine waliojisalimisha Azovstal wafikia 2,439 Urusi yatangaza udhibiti kamili wa mji wa Mariupol https://bbc.in/3G9gKyl
Back
Top Bottom