Marekani yasema kuwa nchi za Ulaya zimesalimu amri kwa matakwa ya Putin juu ya namna mpya ya kufanya malipo ya gas kupitia sarafu ya Ruble ili kuepuka nchi nyingi zaidi za Umoja wa Ulaya zisikatiwe gesi na Russia.

Aisee...Kweli kwa kila 'wababe' kuna mbabe wao zaidi.

SmartSelect_20220524-214926_Chrome.jpg
 
nimemwambia mwenzio kwamba Urusi anatongonyea kiuchumi maana vita hii haiishi leo wala kesho, anayepigana naye kila kukicha anapata misaada ma billion ya dola, mrusi hata kama ana resources kiasi gani itafika pahala atadhoofika.

Hii vita itaamuliwa na nguvu ya kiuchumi, atakayechoka atatoa majeshi yake - Ukraine imeapa haitaachia sentimita moja ya ardhi yake.

Aachie mara ngapi? Endeleeni kumjaza aendelee kuumia
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Umekaa kimya weee, ukaamua uzunguze tu ๐Ÿคฃ

Pro NATO w JF ni kweli wanajiweza wenyewe tu. Hawa ishia kusoma comment zao uendelee kupekua page after page... Ila kukaa chini kujadiliana nao mara buku ukacheze game la nyoka ieleweke ๐Ÿ™Œ
Usipoangalia unachizika maana aiseee๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila usikate tamaa n ndg zetu sasa tufanyaje.
Ni viswaswadu in your voice ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Usipoangalia unachizika maana aiseee๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila usikate tamaa n ndg zetu sasa tufanyaje.
Ni viswaswadu in your voice ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Viswaswadu vinakomaza vidole, Nasubir Smart one like you nipanguse tu... Yanini kujitesa akt maisha mafupi hivi.

Kuna mda hapa nilikua nimeanza ku-qoute text za wadau kureply, nikajipiga pause kwanza nikajiuliza.... Hiviiii kwani huyu unayetaka kumwambia kadha wa kadha akibaki na ujinga wake unapungukiwa nini ๐Ÿ˜‚? Jibu ni hapana nikakausha tu.
 
Ogopa sana kuanza kumuelimisha mtu kua kuweka DP fedha/Pesa ni ushamba na utoto kiwango cha kulamba kamasi... Aanze kuelimika kwenye issue kama hiyo ndipo umueleze mazito kuhusu History and Geopolitics sio leo wala kesho.
Dah mam@@@@@@e pro Russia mnakera kwa maneno so poa...

Utoto kiwango cha nini ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Pigo kubwa sana. Maana hata hayo maeneo aliyoyachukua yatarejeshwa.
Tatizo lenu akili hamna kuweza kujua udhaifu wa USA ...sasa nini kitatokea kama naye mrusi akiamua kumpatia kiduku makombora ya nuclear kama 1000 ....ujui kuwa hapo USA itaomba pooo mchana kweupe na kuikubalia urussi kuichukua ukrein na kuwa taifa lake kabisa na kupiga marufuku nchi zingine kujiunga nato
 
Ogopa sana kuanza kumuelimisha mtu kua kuweka DP fedha/Pesa ni ushamba na utoto kiwango cha kulamba kamasi... Aanze kuelimika kwenye issue kama hiyo ndipo umueleze mazito kuhusu History and Geopolitics sio leo wala kesho.
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃUnajitahidi kumuonyesha njia ila bado anarudi kulekule labda kwa maombi kingine sizani.
 
Viswaswadu vinakomaza vidole, Nasubir Smart one like you nipanguse tu... Yanini kujitesa akt maisha mafupi hivi.

Kuna mda hapa nilikua nimeanza ku-qoute text za wadau kureply, nikajipiga pause kwanza nikajiuliza.... Hiviiii kwani huyu unayetaka kumwambia kadha wa kadha akibaki na ujinga wake unapungukiwa nini ๐Ÿ˜‚? Jibu ni hapana nikakausha tu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
We unatumia vingapi kutoka kwao..

Syllabus ni yako? Tena unatumia rugha yao kabisa, kwanini hukujifunza kirus

Madawa ya ukimwi?

Condoms?

Chanjo ulipewa za kigoma?

Niendelee!

Hata walioumizwa dhidi ya hao wazungu akina Mandela na baba wa taifa walisamehe na wakaendelea kushirikiana nao sasa wewe unashangaa nini hapo masta

Toa sababu zingne utaeleweka
Mandela aliyefungwa jela sio Mandela aliyetoka baada ya miaka 27

Na pia nikuambie tunachopata kutoka kwao ni tofauti na kile wanachopata wao kutoka kwetu
 
Marekani yasema kuwa nchi za Ulaya zimesalimu amri kwa matakwa ya Putin juu ya namna mpya ya kufanya malipo ya gas kupitia sarafu ya Ruble ili kuepuka nchi nyingi zaidi za Umoja wa Ulaya zisikatiwe gesi na Russia.

Aisee...Kweli kwa kila 'wababe' kuna mbabe wao zaidi.

View attachment 2237361
Tuliwaambia ...na sasa hadi chakula cha ukrain tunataka walipie kwa pesa ya kirusi
 
Back
Top Bottom