Recent content by multitalented123

  1. multitalented123

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari ndugu zangu naomba mwl yeyote kutoka Morogoro au Dodoma shule ya msingi ahamie IKIZU A Sm ipo mkoa wa Mara wilaya ya BUNDA nitafurahi kama utapatikana tuwasiliane
  2. multitalented123

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ninashida ya kuhamia Moro natafuta mtu ambaye yuko tayari kuja bunda mjini, idara ni elimu msingi..sababu nataka niende karibu na familia
  3. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Ili yatumike kuwasiliana na watu wenye shida, kama haikuhusu sio lazima kucomment Sent using Jamii Forums mobile app
  4. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    100000 kwa miezi 3 makato 42833 kwa mwezi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Nilihitaji kuongea nae binafsi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Sio kila kitu naweza ongea hapa mkuu that's why kuna namba kwa ajili ya kukuelekeza ofisi kulingana na eneo uliko, ukiwa na uhitaji utapatiwa huduma ofisini zilizokaribu nawe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Mkuu taasisi yetu ni very open tena unajaza mkataba ambao unaweza kuutumia kisheria endapo kampuni ikienda tofauti....by the way haijawai kutokea Sent using Jamii Forums mobile app
  8. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Salary slip Passport size 1 Bank statement ya 3 month current Copy ya job ID Copy ya ATM card Thou kwa maelezo tumia hizo namba hapo juu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Riba ni yakawaida sana mkuu inawezekana hukuelewa tu. ukicompare na wengine sisi ni bora Sent using Jamii Forums mobile app
  10. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Yes ni watumishi wa Umma/serkali tu mkuu na mashirika ya serkali pia kama Takukuru, Sumatra, Tanroad, Mamlaka za maji, umeme n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  11. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Teh teh mkuu naona we bado huna shida ya pesa chap chap, naamin ukiwa na shida ya hela hutatuma ujumbe wa ivi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Huwezi kusema sisi ni maadui wakati watu wanapata pesa kwa ajili ya matumizi mbalimbali mwingine kwa ajili ya masomo,Ada za watoto, biashara na matibabu hawa wote shida zao ziliisha kwa kupata mikopo ya haraka kwetu...labda sio platinum credit ltd Sent using Jamii Forums mobile app
  13. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Ukitaka maelezo zaidi mkuu kuna mawasiliano, tuwasiliane nikujuze zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. multitalented123

    Watumishi wa Umma pita hapa

    Ukitaka kukopa kopa sehemu salama kama platinum credit LTD, ambako tunatoza riba za mwezi na tunampa mteja Uhuru wa kulipa deni lote hata baada ya mwezi mmoja wa makato, lakini pia mikopo yetu kama mteja akifukuzwa kazi ama akifariki hata kama amekopa milioni 10 mkataba wetu na yeye unaishia...
Back
Top Bottom