Vijana wanaofanya utarajali (internship) huugulia maumivu makali kila mwaka baada ya kulazimika kufanya kazi kila siku kwa miezi miwili hadi mitatu wakiwa mikoani bila kupokea posho zao,
Lni utawekwa utaratibu wa kupunguza hii adha kwa vijana hawa?
Vipi kuhusu zile overpayment ambazo wanafunzi wanadai, wahitimu walio andika barua toka mwaka Jana mwezi wa saba hadi Leo hwajapokea hata mia, wala hakuna mrejesho,, Na mfumo una miezi miwili hauoneshi hata matokeo unasema uko under maintainance for one week toka November mwaka Jana, Na hawasemi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.