Recent content by MullaB

  1. MullaB

    Shamira Mshangama aliyetoa hoja ya MKE kulipwa kwa kazi za ndani ana upeo mdogo wa kufikiri. Mke kulipwa ndio kutamfanya awe Housegirl haswa

    Mi natoa tu wazo. Labda walikuwa anazungumzia wanawake ambayo no stay at home wife/mothers labda. Domestic chores zinachosha kweli kweli asikuambie mtu. Ni vile tu siku hizi tumekuwa na ule ujasiri wa kusema. Kazi za ndani hazina mapumziko na ni role ambayo inadharauliwa na wenza (waume) wengi...
  2. MullaB

    Antinatalism vs Childfree: Mambo ya uelewa kati ya haya mawili

    I'm just like you. Women get the sharp end of the stick yaani
  3. MullaB

    Kuoa mwanamke masikini

    Mungu gani yupo horniness ya hot blooded males
  4. MullaB

    Kuoa mwanamke masikini

    KILA siku mnalaumu feminist. Ni serial killers au?
  5. MullaB

    Antinatalism vs Childfree: Mambo ya uelewa kati ya haya mawili

    Hey gorgeous! Inaonekana many Young Millenials na Gen Z tuna kuwa na mpanuko wa mawazo. Tupo kwenye information age. Sikuwahi kujua kuna childfree bongo. So glad to see the representation. Mimi ni antinatalism sympathiser. Nimepitia vitu vigumu in my life so I understand the philosophy...
  6. MullaB

    Asexual People: Tunaishi nao, Ndugu zetu, Rafiki zetu, Pengine hata ni wewe ila hujijui

    Unayoyasema kweli wanaume wanapenda ngono kama mpira vile. Asexual wenyewe sio kwamba ni wengi. Sisi wanawake hatuna hulka na ngono na wanawake huwa hawawazi sana hilo tendo na wengi ni celibate. Huwa anachagua kutoshiriki hilo tendo mpaka awe kwenye ndoa etc.
  7. MullaB

    Antinatalism vs Childfree: Mambo ya uelewa kati ya haya mawili

    Natumaini mko wazima wanna forum. Mada ya leo itahusu antinatalism na childfree. Nitaanza kwa kuweka hizi hoja mbili wazi kuwa kuna watu ni childfree (by choice) na pia ni antinatalist ila si kila antinatalist ni childfree. Nitaanza kuzungumzia watu childfree Watu wanaochagua kuwa childfree kwa...
  8. MullaB

    I need a childfree woman for a childfree marriage

    I'm child free
  9. MullaB

    Asexual People: Tunaishi nao, Ndugu zetu, Rafiki zetu, Pengine hata ni wewe ila hujijui

    Kiufupi ni kwamba asexual hana hisia za kumtaka mtu kumapenzi ili afanye nae tendo, ila anaweza akapenda tu kawaida bila kutaka tendo. Asexual wengine hujilazimisha kufanya hilo tendo kuwafurahisha wenza wao lakini wao huwa hawajali sana. Anaweza akapata feeling za hilo tendo lakini sio kwamba...
  10. MullaB

    Asexual People: Tunaishi nao, Ndugu zetu, Rafiki zetu, Pengine hata ni wewe ila hujijui

    Asexual sio shida inayohitaji tiba. Wanawake kwa wanaume wanaweza wakawa hivyo
  11. MullaB

    Asexual People: Tunaishi nao, Ndugu zetu, Rafiki zetu, Pengine hata ni wewe ila hujijui

    Us Ushaambiwa hawa nyinge za ovyo ovyo. Hawana hamu ya kufanya hilo tendo. Sasa huko kwenye kuwa kikojozi sijui umefikaje bro
Back
Top Bottom