Recent content by Mulama

  1. Mulama

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

    In fact ccm is a damn fool!
  2. Mulama

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Land Rover Discovery 3

    Anapatikana wapi huyu naomba niunganishe naye tafadhali naitaka discovery yoyote haraka iwezekamavyo.
  3. Mulama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Unaporudi na kulia leo "Kijana wako kaumizwa mguu au alikufa," ulishindwa nini kumzuia asitoke?

    Hapa ndipo katia msumari wa moto kunako kidonda kibichi huyu, kama gwajima kumtolea tu mfano abdul kulimgharimu makanisaye kufungwa nchi nzima kielelezo cha kuujua uchungu wa mwana lakini leo anawakebehi aliowaulia vijana wao! Ngoja tuone yajayo.
  4. Mulama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Anaojaribu kuchezea sharubu wamemzingira mpaka uvunguni mwa anakolala watakapomchoka na dharau zake hatopona!
  5. Mulama

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke kuhusu kupaa kwa deni la taifa. Tumewauliza "Who are They!". Watajibu "We are We". Tukumbuke Mzungu na Muarabu ni walewale tu, lao ni moja

    Huyu mwanamke ana lengo la kuliangamiza taifa, hule mkanda tuliofunga baada ya vita vya kagera ni cha mtoto zamu hii tutafunga mshipi kama ndoano
  6. Mulama

    JamiiForums Tanzania Hivi Kwanini Raia Namba Moja Anawachukia Sana Vijana wa Tanzania Bara?

    Ndivo alivozaliwa roho yakeiko hivo.
  7. Mulama

    JamiiForums Tanzania Nadhani wa kulaumiwa au kushtakiwa ni tume ya uchaguzi

    Tume ya kupigania tumbo ikisaidiwa na vyama shikizi ilitekeleza maelekezo.
  8. Mulama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Amalize muda wake aliopewa na nani?!
  9. Mulama

    JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Kweli hotuba matata sana inaongelea namna ya kugombania mwanamke mzuri na namna ya kumnyima uchi mume kama ameondaka amekosea! Kibibi na umri wote hule bado kinawaza mambo ya chupichupi katikati ya kipindi kizito cha mtafaruku wa nchi! Walaih hotuba mulua kabisa hii.
  10. Mulama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    Mbaya zaidi kaenda kugonga mlango ulioandikwa no entry kwa kuikebei TEC! Kwa maana nyingine katangaza vita rasmi na dini ikiwa ni nyongeza katika zigo lake la mauaji! Ngoja tuone kifuatacho.
  11. Mulama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shehe Issa Ponda kushinda jimbo la Temeke mchana kweupe - Mikiki katika kutetea wanyonge ndio turufu yake Temeke

    "Ikiwa uchaguzi utakuwa huru na haki, ccm ijiandae kutoka madarakani" By: H. PolePole. Kwa mantiki hii NRNE ni muhimu sana ndipo haya uliyoyaandika yapate kutimia.
  12. Mulama

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

    Mpaka hapa ushathibitisha haupo sawa kwa ushauri wa kisungura?! Unatakiwa ufanye vipimo vya afya.
  13. Mulama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

    Julisha tafadhali unafanya kitengo gani cha usambazaji umeme marekani?
  14. Mulama

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

    Kwanini hakuna madhala wewe unajua hiyo damu inacontain vitu gani na vingapi?
  15. Mulama

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote damu ya hedhi ikiingia kinywani kwa bahati mbaya?

    Kwanza kwanini unafanya ngono kinyume na maumbile?!
Back
Top Bottom