Recent content by Mulaguzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Nawashangaa Sana wakati kucha mitandaoni na barabarani kutukana wenzao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    La nini
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wamachinga, Bodaboda nchi nzima watoa tamko kumuunga mkono Magufuli

    Mungu awabariki Sana wamachinga watu wa Mungu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Huo ndio uhuru anaounadi mgombea wao. Ambao unamkosea Mungu
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ziara ya Dkt. Magufuli Kilimanjaro imebeba ajenda za msingi

    Hongera Sana Rais wetu kwa kazi kubwa unayotufanyia Watanzania. Mungu aendelee kukupa nguvu. Kura zote safari hii za kwako hapa Kimanjaro na kwa CCM, tumeamua kwa hakika. Mwenyewe umejionea
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Natamani kufika kila eneo kufanya kampeni lakini siwezi

    Hongera Sana JPM wetu kura zote kwako
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu mnyang'anye Magufuli advantage ya vyombo vya habari vya umma na wasanii

    Mawazo mgando hayo. Kwa hiyo Vyombo Vya habari ndio vinawabeba watu kuja kusikiliza sera ? Au wasanii ndio wanalazimisha watu waje umati vile ? CCM ni system ambayo ipo kuanzia ngazi ya chini kabisa , hebu anzeni kujenga chama chenu kwanza , jengeni ofisi kuanzia kijiji hadi taifa ili tujue pa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa janja hii ya CCM kutumia ugeni wa kitaifa kuomba kura NEC semeni jambo

    Nakushangaa sana Mtoa hoja . JPM bado ni Rais wa JMT kwa hiyo anafanya kazi pia , hawezi kuacha kazi ya Urais kwa kuwa yupo kwenye kampeni. Wacha propaganda za ovyo. Amekuja Rais wa Nchi jirani sasa Lissu ndio ampokee? Umemuona huyo Mgeni kwenye kampeni? Tulia watu wafanye kazi , hakuna sheria...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

    Mgombea wenu ni mbishi , hataki kufuata sheria, anatafuta achukuliwe hatua kali ili aseme anaonewa. Hakuna Serikali inayomvumilia mvunja sheria kwa makusudi kwa kujaribu vyombo vya Usalama . Watu wa Dar wana akili zao timamu hawawezi kufuata upuuzi wa mgombea wenu
Back
Top Bottom