Recent content by mukoba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Hehe madawa na mikopo ya wanafunzi ambao mpaka sasa hawajui la kufanya huko vyuo vikuu ni tungepata kwa zile vijisenti billion 200 wakubwa wengine wameropoka asubuhi kua ni zaidi ya hizo ni mia nne basi tu ililimradi maisha ya songe wakubwa wale nchi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    OLE WAKO TANZANIA... Taifa lenye vijana walio tayari kuua, Kuua kwa ajili ya Ukuwadi na Utumwa, Kuua kwa ajili ya kutumwa na wakubwa, Matajiri waliogeuza nchi hii Ubwabwa. Ole wako Tanzania unayechezea amani, Amani iliyodumu barabarani hadi nyumbani, Amani imekuwa ghari sasa jaribu vitani, Kwa...
Back
Top Bottom