Recent content by mukandarasi

  1. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Ni ajira kila kona ya nchi, Miradi mikubwa yaajiri maelfu ya Wanavyuo hasa Engineers

    Mbona unaleta porojo ndugu? Kwani kabla ya JPM ni chama gani kilikua kinatekeleza ilani yake?
  2. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Uko sahihi, nakuunga mkono!
  3. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Anne Makinda jihadhari kwani Pius Msekwa si saizi yako. Msekwa katumia usomi kusema akina Halima Mdee wamefutwa Ubunge

    Hawaihitaji huruma hawa waharibifu wa nchi hii!Atasemaje waandishi wamuache wakati ndiyo muda sahihi wa mzee kugawa urithi wake kimawazo kwa vijana wa taifa hili?
  4. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu alikuwa mwanasheria na mbunge, kwanini hakuwatetea Masheikh waliopo Gerezani?

    Kwani akiwatetea leo kuna ubaya gani?
  5. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    A Aulizae ataka kuju!Povu la nini sasa?
  6. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

    Mbona wapo viongozi wa upande wa pili waliowaita CDM Corona na wanaendelea kuongoza vilevile!
  7. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Dereva wa Lissu kuelekeza gari nyumbani badala ya polisi kituoni

    Asaidie upelelezi gani tena ?wakati wababe wamekwisha sema faili limefungwa!
  8. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Manispa ya Bukoba Chini ya CHADEMA inajenga Standi ya Kisasa kuliko zote Tanzania

    Usijifanye huelewi maana!
  9. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kinondoni bwana Mtulia kulikoni kulindwa na Serikali?

    TISS umesema wewe,yeye kasema wanausalama.Wanausalama si TISS peke yake hata Mgambo ni Mwana Usalama
  10. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa na kusikitishwa na wanaoshabikia ziara ya Lissu Uingereza

    Umeulizwa sasa tufanyeje,mbona hujibu??
  11. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mwaka 2020 Nitagombea Ubunge Arusha Mjini na si Hai kama inavyosemekana

    Kwani akisema atagombea,ndiyo kusema kawazuia Makamanda wengine wasichukue form?!
  12. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Mh. Bulembo Wanaohama vyama wanabadili falsafa zao walizokuwa nazo awali?

    "Nyakati fulani" itakuwa ni kifafa basi!
  13. mukandarasi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kama ningepata mamlaka ningefanya tofauti

    penye nia pana njia "Penye nia pana njia!"
Back
Top Bottom