Tunashuhudia Mara nyingi tuu nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania zikibadilisha aina ya fedha zao yaani noti to coin, coin to coin na noti kwenda noti mpya
Je hii inamaanisha uchumi umepanda au umeshuka? Pia zoezi hilo linaigharimu seriKali kivipi na lina faida gan?

Kutokana na urasimu, ubadhilifu na utapeli uliojitokeza katika mchakato wa kuajiri nguvu kazi katika idara ya uhamiaji, imebainika dhahiri kwamba hata utendaji kazi wao ungefanana moja kwa moja na yale yaliyojitokeza katika kupatikana kwao.
Kamati ndogo iliyoundwa ilipendekeza mchakato wa...
Kutokana na urasimu, ubadhilifu na utapeli uliojitokeza katika mchakato wa kuajiri nguvukazi katika idara ya uhamiaji, imebainika dhahiri kwamba hata utendaji kazi wao ungefanana mojakwamoja na yale yaliyojitokeza katika kupatikana kwao. Kamati ndogo iliyoundwa ilipendekeza mchakato wa ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.