Kwa taarifa yako estrn congo ni shamba la mama,hakuna serikali huko,kila Genaral wa jeshi la congo anakikundi chake huko kinacho mchimbia madini,business people wanavikundi vyao huko,ndio maana inakua vigumu kuviondoa hivyo vikundi huko congo,sasa imagine Jeshi la DRC,FDLR ,NYATURA,MAYIMAYI...