Recent content by Mukakona

  1. M

    Tetesi: Miaka 5 au 7: Sendeka ameokoa jahazi?

    Yani Clip ya Ole Sendeka ionyeshe Kuwa Hali ya Demokrasia CCM ni mbaya!!!! HALAFU MGONGANO WA MASLAHI KATI YA LOWASSA..MBOWE.. LEMA.. BAVICHA NA NINYI WA JF Kuhusu kwenda Ikulu na KUTOA MAONI YAKE HURU IONYESHE KUWA DEMOKRASIA NDANI YA CHADEMA IKO VIZUUUURIIII???? hivi Huwa Mnawaza kwa...
  2. M

    Mbowe atoa siri ya maisha ya viongozi wa CHADEMA

    Anastasia Mayunga!!!! Siyo Lake zone @Sukuma land huyoo??? Duuuuh sorry HUYU ni WETU haina tatizo Pole kwa msiba
  3. M

    Hii ndiyo CHADEMA: Lowassa ajiandae kujieleza mbele ya Kamati Kuu, akileta blah blah analiwa kichwa

    (1) watu wameelimika????? We ndiye mmoja wa watu wanaoamini kuwa ccm haijafanya kitu Nchi Hii tangu Tupate uhuru... wameharibu Elimu kabisa Wameelimikaje kwa mtazamo wako?? (2) Kwamba watu Wameelimika!!!! Wametapeliwaje na CCM huku Wana Elimu???? Hujioni kwamba wewe ndiye mtoto wa juzi...
  4. M

    Hii ndiyo CHADEMA: Lowassa ajiandae kujieleza mbele ya Kamati Kuu, akileta blah blah analiwa kichwa

    Duuuuh!!!!! Umesahau au kwa kuwa bado ni asubuhi hujanawa uso???? Watu million Mbili walikuwa wa Dr W Slaa.... Alipoondoka NUSU ya hao walikata tamaa Watu Million nne walikuja na LOWASSA.... Atakapoondoka YEYE HUONDOKA NAO MAANA WAO NI ALIPO TUPO!!!!! kwa hiyo Mahesabu sahihi ya Chama ni...
  5. M

    IKULU: Waziri Mkuu Mstaafu, Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli; akiri Rais anafanya kazi nzuri

    Usichofahamu Mwanahabari huuuruu(siyo huru) ni kwamba mambo yanayohusu MAENDELEO YA NCHI NA MIPANGO MUHIMU haushirikishwi haraka na Chama Wewe umepewa jukumu la Kupinga.. kukosoa na kuchafua Serikali ndo Maana Taarifa zenye mlengo huo unashirikishwa haraka na Chama Ndiyo Maana Taarifa hii...
  6. M

    Mhe. Spika, kwanini Bunge lisijibu hoja za Mhe. Tundu Lissu kuhusu gharama za matibabu yake?

    (1) Huwez kujificha UWANJANI na useme huonekani Wakati uko UCHI.. Hoja zako zinathibitisha wewe ni NANI.. upinzani na huwez mdanganya YEYOTE mwenye IQ (2) Bunge Halitoi Pesa yoyote ya kumpeleka mgonjwa Nje ya Nchi Bali serikali Ndo Maana hata safari zao Za seminar Zilipigwa Panga na wakatii...
  7. M

    Mhe. Spika, kwanini Bunge lisijibu hoja za Mhe. Tundu Lissu kuhusu gharama za matibabu yake?

    (1) Ninawaambia wauze AU WAO NDO WALIJITANGAZA KUUZA???? (refer Lema) Kwa sasa tunawakumbusha soko liliko.. Ni hapohapo NAIROBI walikokuwa (2) Magufuli alipelekwa Ujeruman na Serikali.. Yaani anajua umuhimu wa Taratibu zilizokwisha kuwekwa hivyo alizifuata Huo msukule wenu Kama nao ungefuata...
  8. M

    Mhe. Spika, kwanini Bunge lisijibu hoja za Mhe. Tundu Lissu kuhusu gharama za matibabu yake?

    nilijua MTABADILI GIA ANGANI TU KAMA KAWAIDA YENU hivi ni NANI asiyejua UAMZI wa Serikali kumuhusu Lissu Ilikuwa apelekwe Mhimbili???? Hivi mnajisahaulisha mlivyojishebedua kwa mbwembwe kwenda Nairobi kwa madai mna uwezo na pia ndiko sehemu ambayo mgonjwa wenu atakuwa Salama zaidi KINYUME...
  9. M

    Tanzania threatens to shut churches after Magufuli criticism

    We have been given a free moral agency!!!! Kama NENO LA MUNGU linasema mfuate..Halafu wewe unaona ni kumfuata fuata makwao!!!! Bado una hiari ya kuchagua..Kutii Neno au la!!!! Uzuri Mungu halazimishi Kuaminiwa bali ni hiari yako Umuamini au usimuamini NA KUMUAMINI MUNGU NI KUTII NENO LAKE MAANA...
  10. M

    Tanzania threatens to shut churches after Magufuli criticism

    Angejiuliza hivi huyo Cannabis NANI ALITAKIWA KUMFUATA MWENZAKE KATI YA KAKOBE NA RAIS MAGUFULI???? Kakobe anafahamu Biblia..anajua taratibu za kumuonya mtu zikoje Biblia inasema..UKIMUONA NDUGUYO ANAFANYA DHAMBI AU KOSA BASI MWENDEE MUONGEE WEWE NA YEYE PEKE YENU..AKIKUSIKIA UMEMPATA...
  11. M

    Ccm mbele kwa mbele

    Mtu kumuita mwenzake Pumbavu wakati huo hajui kesho ataamka ama la ni kiwango kilekile alichoambiwa tajiri na Bwana Yesu baada ya majivuno na kiburi kuwa" hujui kesho utakufa"???? Maana yake ni kwamba Tengeneza sasa maana huijui kesho yako Hoja ni kwamba kama wewe unataka kuonyesha hisia na...
  12. M

    Ccm mbele kwa mbele

    Hisia inahesabika kwako ww kutumia lugha kali...za kuudhi na kashfa!!!! Lkn kwa hao CCM walichotenda kwako ni ukichaa....upuuzi.... kukosa akili...na hivyo kwao siyo Hisia HUKO NI KUDAI HATI MILIKI YA MAWAZO..MATENDO NA UHURU WA MTU KUAMUA CHA KUFANYA!!!!! Shame on you
  13. M

    Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Tunduma ananyanyasa wafanyabiashara

    Mimi na ww nafikir hatutofautiani sana Ila Tramadol kama kuna UNYANYASAJI WA AINA YOYOTE ILE NI KINYUME NA MAADILI YA KAZI YAKE.. Nini cha kufanya sasa???? Msiogope chukueni hatua ili haki yenu itendeke!!!!! Shida ninayoiona ni kwamba MNAKOSA UJASIRI WA KUMSHITAKI KUHUSU UNYANYASAJI HUO...
  14. M

    Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Tunduma ananyanyasa wafanyabiashara

    Asante kwa kunisikia Ila tambua kuwa Kinachokufanya useme ananyanyasa Wafanya biashara ni kwa sababu ya KUSIMAMIA SHERIA Kama angekuwa hafanyi hivyo ungesema huyu ni Mzuri Unaposema ni Mzuri Serikali na taratibu za kazi yake zinamwambia ni MZEMBE Ndo maana nakushauri kuwa TIINI SHERIA BILA...
  15. M

    Bunge lilikuwa wapi miaka yote hii hadi Rais Magufuli anakuja kubaini madudu mengi hivi?

    Sorry sexless Niambie Mkataba wowote ambao unaona katiba mpya ingekuwepo ungekuwa bora!!!!!! Sheria nafikiri ndiyo msingi Katiba ni widely mnooo kudeal na mkataba mmoja mmoja Si zaidi saaana ya mtu asemaye tupate Katiba Mpya ili tuiondoe CCM madarakani As if (1) Katiba mpya itai exclude CCM na...
Back
Top Bottom