acha waweke lakin mti wenye matunda ndio hupigwa mawe wameweka mambo kibao ndio kwanza wafuasi wanaongezeka mwaka huu pressure lazima zipande nadhani uliona songea kilichotokea
acha waweke lakini mti wenye matunda ndio hupigwa mawe wameweka mambo kibao lakini ndio kwanza kila siku wafuasi wanaongezeka nadhani uliona songea kilichotokea
hawa ni ukawa ndani ya ccm.mtakuwa mnalipwa kumchafua huyu jamaa kila mtu anatoa ela na kutoa ela si lazima ukubalike ila huyu jamaa ndio chaguo la sasa kwa hali hii iliyopo tz,tunahitaji mtu kama huyu now mwaka huu mtakimbia nchi mapema kabisa baada ya uchaguzi teammmmmmmm lowasssssaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.