Recent content by muho

  1. M

    DED Mbinga kusalimia CCM oyee ni sahihi?

    Kinadharia ni sahihi lakini ki vitendo ni sahii. Ni ukaidi wetu tu hatutaki kuuona ukweli kama DED ni MuCCM na hata kuwa CUF wala CHadema Nani anbisha hilo?
  2. M

    Nyerere aahidi kurudisha twiga waliosafirishwa nje ya nchi

    Wakipewa mapesa ya kujengea mahekaru na magari ya kifahari na kusomeshewa watoto wao huko, hata binaadamu tutapakiwa bila ridhaa yetu tupelekwe huko walikokwenda wanyama wetu
Back
Top Bottom