Recent content by Muhj

  1. M

    JamiiForums Tanzania Boresha na rudisha nguvu za kiume ndani ya ndoa yako urudishe furaha ya ndoa!

    Kila mtu mtaalam wa hizi mambo na kutuletea lugha kali za misamiati Mwaka huu hakuna rangi tutaacha ona.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuokoa hii ndoa

    Akamuone daktari kwa ushauri zaidi,hyo inaweza kuwa ni impotence,mishipa ya kupeleka damu kwenye uume imelegea hivyo ni suala la kitaalamu kuweza kuihuisha,wkt mwngine punyeto inaweza kukufanya ukapoteza hamu ya kufanya mapenzi kitaalamu inaitwa loss of libido. Unajisikia kujichua tu kuliko kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nilimkosea kumwomba msamaha nashindwa...Nahisi atanitesa!!

    Msalimie usionyeshe tofauti yoyote ile ht yenye kimoyomoyo anakukubali ila ni vile tu saga za cheo kikubwa, atakuelewa tu muda si mrefu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Manufaa na madhara ya sinema za ngono

    Hello bro, Kuna madhara mengi sana ya kuangalia hz sideman kuliko faida. Mengi yenye kufanyika pale ni unrealistic wanachukua muda mwingi sana kutengeneza scene moja,so unaweza ukadhani so ukijilinganisha na wale actors unaweza kujiona hujui kitu. Pili ukizoea kuangalia sana unakua mtumwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzee MKAPA katika kibarua kigumu kuisafisha CCM Tanga

    Mzee ana jazba ktk kuoa kauli
Back
Top Bottom