Recent content by muhibu said

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kivuko Kigamboni ni changamoto kubwa

    Kimekuwa changamoto kivipi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Inashangaza pale ambapo Profesa Assad anapozungumzia kuhusu kuondolewa kwake kinyume cha katiba, watu wengine wanasema eti akubali matokeo

    Kwa kigezo gani ni mdini? Mbona kwenye kudai kwake stahiki zake, hatujaona akitumia aya yoyote ile ya Qur'an zaidi ya vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpangaji wangu kageuza Nyumba yangu kuwa kiwanda bubu cha kutengeneza vinywaji vikali feki kama Konyagi, K Vant nk

    Ni Boko mtaa gani na kata gani? Pia tunaomba vilevile picha ya jengo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto wakutanazo wakinamama waokotao nguo zilizotupwa Dampo na kwenda kuziuza masokoni

    Wanaokota kwenye dampo gani hilo pichani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Hii SHULE ya Sekondari Mwilibona Ipo Wilaya gani na mkoa gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

    Kichwa cha habari cha huu uzi, kinaeleza "urais" lakini maelezo ya ndani yanasema "makamu wa Rais CHADEMA"!
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO BANK ya ABC inadaiwa kutapeli Walimu

    Mkuu, hii inahusianaje na madai ya mtuma Uzi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO BANK ya ABC inadaiwa kutapeli Walimu

    Walimu wa wapi hawa? Ushahidi unaweza kupatikana walau?
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO BANK ya ABC inadaiwa kutapeli Walimu

    Ni walimu wa wapi hawa? Uhsahidi unaweza kupatikana walau?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto amemtuma ofisa wake kuisemea CHADEMA kuhusu Lowassa

    ACT na CHADEMA kuweni wakweli!
Back
Top Bottom