Recent content by muheza2007

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

    Yaani pumba zingine, nchi iongozwe na ccm halafu wewe uwalaumu upinzani? matatizo yote ya Tanzania ni kwasababu ya uongozi wa ccm.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TACAIDS: Wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya UKIMWI wamejitoa

    Summary Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi wamejitoa. By Janeth Joseph Moshi. Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    ICC wanapokea ushahidi wowote. Nara nyingi Waandishi wa habari ndio source ya ushahidi huo. Magufuli ajiandae tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    Amsterdam bado haja peleka. Document ya Amsterdam itakuwa more detailed maana anaiandaa kisheria zaidi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    Hiyo ni stage ya kwanza kwenye masuala ya ICC. Mwaka huu kuna ushahidi wa kutosha . Jiandaeni tu hao majizi ya kura na wauaji kufunguliwa kesi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    Duh! Mpaka nimecheka kama huu ndio uchambuzi wa msomi. Watanzania tuna matatizo makubwa ya akili. Endeleeni kumdanganya jiwe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter

    Unataka waandamane ili muwaue?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

    Sio Afrika tu, hata Ulaya na Marekani siku muhimu Kama hii mabalozi wote lazima wawepo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Dkt. Phillip Mpango na Prof. Palamagamba Kabudi wameteuliwa haraka kuwa Mawaziri?

    Pompeo yuko madarakani mpaka mwishoni mwa January. Tena sasa ndio wako hatari zaidi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kadogoo: Tuliamini Lema ni Mandela wetu lakini katuangusha

    Maskini hata hamjui Mandela naye alikimbia SA ma kuwa nje kwa miaka kadhaa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

    Acha uongo, Mbowe hakusaini kukubali matokeo
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

    Kisheria namba ya mpiga kura haitakiwi kuandikwa popote ili kumlinda watawala wasimtambur. bahati mbaya baadhi ya sehemu waliambiwa waziandike kama njia ya kuwatisha wafanyakazi
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

    Namba ilikuwa inaandikwa na mkuu wa kituo na sio kwamba zilikuwa printed na hizo namba. huenda hata sio wilaya zote walipewa maagizo ya kuandika namba ya mpiga kura kwenye karatasi ya kupigia kura.
Back
Top Bottom