Recent content by Mugonasipapune

  1. M

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Ngafu umenena, sana kuna watu humo kwenye Halmashauri walishajifanya Miungu watu. Sasa hivi wanahaha mno! Wapishe vijana wasomi na waadilifu wachukue kazi.
  2. M

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Wewe Pasco enzi za ujinga zimekwisha, hakuna cha TUME wala kuitwa chumbani, Sasa hii ndiyo Slogan ya Mkapa. Yaani Mkapa alianzisha hiyo theory "Zama za Uwazi na Ukweli" Makufuli na Majaliwa wanaimplement practically. Nimebahatika kuishi nchi za Uropa miaka 3 tu. Kwangu ilikuwa somo tosha sana...
  3. M

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa: Wa kushukuriwa ni Lowassa

    Nami naunga mkono na miguu hoja ya Savimbi, inamashiko. Thabiti, mahsusi na murua kabisa.
  4. M

    UKAWA kupata kipigo kikali Tabora, Morogoro, Dodoma na Mwanza

    NAOMBA USOME KWA UMAKINI NA JUA CHA KUFANYA:Haya ndio mambo ninayoyafahamu kuhusu TANZANIA 1. Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. 2. Tz Kwa miaka 38 hii inchi imeongozwa na ccm peke yake ambayo ni zao TANU na ASP. 3. Tz ni nchi...
  5. M

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Mimi ukweli, niliouona ni CCM hawakushiriki Mdahalo wa mwaka 2010, Kwasababu ambazo hajazisema, anasema hii ni ccm mpya, mbona mnaimba ccm ilele na watu ni walele wale? Hebu nendeni mkaipangange ccm mpya kwa miaka 5 kwanza halafu tutawaangalia kama kweli imekuwa mpya. Peoplezzzzzzz!
  6. M

    Picha: Lowassa akiwa Biharamulo Magharibi

    Kichwa cha habari kiko vizuri, sana hiyo ni technics upande wa pili ndiyo wanApenda sana kusikia hizo habari mbovu, iliwapate mahali pa kubeza, sasa wewe unawapiga cheza La macho, wakifungua tu hiyo habari wanakutana na mafuriko ya mabadiriko. Mpaka Wanasikia kichefuchefu, zikiwa habari nzuri za...
Back
Top Bottom