Zamani hzi dawa zilikua zinatolewa bure, lakini Cha kushangaza watu wa methadone(wale wanaotumia madawa ya kulevya ndio wanatibiwa bure). Wengonjwa wengine wanalipa. Serikali Angalieni hili.Wengine hatuna uwezo wa kukata Bima
Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana
Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.