Recent content by mugole

  1. M

    Kuhusu website ya TAMISEMI

    Tembelea www.pmoralg.go.tz Ndo site ya Tamisemi Mbona inafunguka alafu haina mpya? Duh, poleni sana.
  2. M

    Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

    Kasimu kwani ukitoa majina leo watu wajue wamepangiwa wapi kuna tatizo gani? Kila mara unatangaza ajira majina hatuyaoni! Siamini pia mwez huu kama usemacho ni kweli.
  3. M

    Ajira mpya za walimu

    Kama ni kutangaza walikwisha tangaza kitambo, hatuhitaji watangaze tena tunataka tujue tumepangiwa wapi?
  4. M

    Ajira mpya za walimu

    Wanadanganya hao hawana lolote, Sasa si waweke majina kunako mtandao?
  5. M

    Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Wew mwalimu au Fara mshenzi kabisa ww, Ajira za wadogo zangu ziko wapi sasa ? Chunga domo lako hilo linanuka ------ wewe
  6. M

    Kwa waliosikiliza TBC leo asubuhi,kuhusu ajira za walimu.

    Je alipo kupigia simu haukumtakisha maelezo ? Komaa naye akuthibitishie.
  7. M

    Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Huyo afisa ni msemaji wa serikali ? Bangi ndo zina kusumbua kichwani, Ila tambua kuwa wehu unakunyemelea.
  8. M

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "Always do good, avoid evils." EMMANUEL KANT.
  9. M

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Kweli teacher ? Angalia usijidanganye mwenyewe mwalimu, Mm nina Bachelor of sociology toka mwaka juzi bado nina apply
  10. M

    kwa walimu wenzangu mnaosubiri ajira kutoka serikalini

    Hongera sana,tambua kupata kazi ni bahati kubwa sana na usinikebehi kwa kuwa mshahara wko mkubwa kwangu, Wapo wanao lipwa zaidi ya milion tena unawazidi elimu so usitambe sana bwana mdogo.
  11. M

    USHAURI:kwa Waalimu wa kiswahili na historia, jiandaeni kisaikolojia.

    Kweli kabisa, kaka yupo wizarani kanambia hivyo pia
  12. M

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Wadau ajira mwaka huu hakuna ! Ukweli ndio huo
  13. M

    USHAURI:kwa Waalimu wa kiswahili na historia, jiandaeni kisaikolojia.

    Nimecheka sana, Alafu hata kama hawaamini, Ukweli ndio huo.
  14. M

    kwa walimu wenzangu mnaosubiri ajira kutoka serikalini

    Mungu akubariki sana kwa kunifariji , Nimepata tempo nalipwa 150000
Back
Top Bottom