Recent content by Mugisha Byabato

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: TRA Sijawatuma mkusanye kodi ya dhuluma

    Rais John Magufuli amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatakiwa kujitathmini kwanini watu wanakwepa kulipa kodi na kuamua kutumia wamachinga na wafanyabiashara wadogo kuwauzia bidhaa zao. Ameyasema hayo leo Jumapili Desemba 2, 2018 wakati akiweka jiwe la msingi katika mradi wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayofanyika Ulaya na Tanzania yanawezekana

    Haya mambo yanawezekana sio kwamba yanafanywa ulaya tu ata hapa Tanzania tunaweza chini ya usimamizi wa Rais Magufuli:- 1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa kisasa Julius Nyerere International Airport terminal 3. ujenzi wa jengo hili- unaweza kuchukua hadi abiria milioni 6 kwa mwaka - ikiwa ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi katika Serikali yoyote ile Barani Afrika kuyafanya

    Mambo ya msingi katika serikali yoyote ile barani afrika kuyafanya:- Kukusanya mapato na kodi. Kusimamia matumizi ya fedha za umma. Kupambana na rushwa na ufisadi kwa vitendo. Kusimamia nidhamu na maadili kwa watumishi wa umma. Matumizi mabaya ya mali za umma. Kuwawezesha wananchi wake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni saba ya Uturuki kuja kuwekeza nchini

    Watanzania zaidi ya 1,400 wanatarajia kupata ajira za moja kwa moja kutokana na kampuni saba za Uturuki kuwekeza nchini. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Damas Ndumbaro alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari juu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutanunua Korosho kwa Tsh.3,300/=, JWTZ ihakikishe kila ghala linalindwa na Wakulima wanalipwa haraka bila usumbufu

    Kuna WATU hawajui sekta hii wanadandia dandia na kutaka kiki, tafiti zaidi zinaonesha kuwa uzalishaji wa korosho duniani hauwi na uwiano kila mwaka. Kuna wakati unapungua na kuna wakati unaongezeka kwa kasi au kidogo. Na kote huko yanakotokea mabadiliko na uzalishaji unapungua au kuongezeka...
Back
Top Bottom