unajua unaweza kua na pesa kidogo alafu ikakulipa mim nicho kiamin ni kuwa milion50 kila kijiji inaweza ikatosha tena vizuri tu hii ni kama tutakua na madiwa wazuri ambao watweza kusimamia pesa hizo zitumike vizuri mfano ndani ya kijiji pakawa na milion hamsini diwani akawa mbunifu akatengeneza...
kwakwel kwa upeo mdogo wakufikiri kodi ndio uleta pato la taifa sasa najiuliza mismaha iyo ikipita sio kama tutapunguza pato la taifa je iyo pesa ya kuendeshea maendeleo inatoka wap angesema atahakikiwalipa kodi wote wanadaiwa kikamilifu ili kuongeza pato la taifa kwa ajili ya maendeleo apo sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.