Chief mkwawa mkali wazi hizi kazi
Naomba kuuliza Kuna simu nimeipenda sana inaitwa REALME GT 5 neo RGB hivi hii naweza kupitia kwa soko gani kutoka nje naweza kuipata pinduo duo na inakuwa sh ngapi maana nimeikubali pia iyo RGB feature nyuma ya simu
Alafu Kuna simu ambazo ziko na led light...
Kaka vp nimeona uliandika mwaka jana uzi Wa pinduo duo, kaka mm nataka kuagizia PC ya HP china kwa pinduo duo ni uwakika au Bora ninunue ebay au amazon Yan bora nichukue lilipo soko la hp maana nataka HP envy ile touchscreen na pia ni 360rotation corei5 SSD 225gb NB: 360 rotation and touchscreen...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.