Anahitajika kijana mkazi wa Babati
Qualification..
1. Degree/Diploma in business or any related field
2. Awe mkazi wa Babati
3. Awe na uwezo wakusafiri kupita katika wilaya zilizopo Mkoa wa Manyara.....
Mawasiliano piga 0687222251
Kwa sasa kutokana na maendeleo ya technology basi biashara nyingi zinafanyika kiurahisi zaidi tofauti na mwanzo.
Wafanya biashara wengi wanatumia mifumo mbalimbali kuendesha biashara zao kwamfano mfumo wa mauzo (POS) hii imewarahisishia sana wafanya biashara kwani wanauwezo wa kumanage biashara...
Tumesha fanikisha kuwa na kiwanda kidogo nakimesha kaguliwa na watu wa viwango sasa tuna tengeneza packed cultured milk , yoghurt pamoja na fresh milk kilicho baki ni kupata tu soko la uhakika..
Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.