Recent content by MubengaJr

  1. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Tanzania yanafurahisha sana

    Kabisa, hii inaweza kuwa njia ya kuongeza nafasi za ajira
  2. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hofu ya maandamano yazidisha msongamano wa wasafiri Dar

    Wanaondoka halafu usikute maandamano hayatakuwepo.
  3. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN: Hivi ndivyo tulithibitisha ushahidi wa mauaji Tanzania. Kwa Tekinolojia ya sasa, kuvuruga ushahidi ni kazi bure

    Kumbuka hata Sharifu Majini alikuwa na akili kama zako
  4. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania Hitimisho langu: Hakuna Taasisi iliyooza Tanzania kama TISS. Ni au ivunje na kuundwa upya au isiwepo kabisa

    Hata jeshi mnalolitegemea liwasaidie kukomboa nchi lishakuwa compromized
  5. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ujumbe wa Lissu kutoka gerezani: Nimewekwa total isolation, wafungwa niliokuwa nao wamehamishwa, selo yangu imefungwa kamera za ulinzi

    Hawa wapinzani wangejua wanatetea mbuzi wangeamua kuachana na hivi vyama vya upinzani tu. Watanzania wengi ni watu wanafiki na wasio na akili kabisa. Ili kuthibitisha hili tusubiri hiyo tarehe 29 Oktoba. Watu wangekuwa wako serious hata sasa wangesha react.
  6. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani wa Tanzania umepoteza golden opportunity dhidi ya CCM

    Viongozi wengi wa upinzani sio wapinzani, huwa wanatumika tu. Hata hao waliobaki CHADEMA ni wachache ndiyo wana dhamira ya kuitoa CCM madarakani.
  7. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania NANENANE DAY: Kwa mara ya kwanza katika historia Bajeti ya maendeleo ya Kilimo imefikia shilingi trilioni moja. Je, Tunalakujifunza?

    Endelea kuvimbiwa na vihela wanavyokupa mabosi zako. Kutenga bajeti ni kitu kingine na kutoa hizo pesa ni kitu kingine. Tusubiri muda utaongea.
  8. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania Serikali inatumia Mfumo gani kuwapata Mawakili wake? Au Mawakili Bora Huwa wanaamua kujiajiri wenyewe?

    Hata gap la stahiki ni chanzo kingine. Bosi wako analipwa 5M, pesa ya nyumba, usafiri, fenicha, mawasiliano etc. Mtumishi wa kawaida anaweza kuwa analipwa 1M, hapo ndiyo ajikimu kwa kila kitu. Haiwezekani kupata watu smart katika mazingira haya.
  9. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Akaunti zote za kanisa la Gwajima, na zile zake binafsi na za viongozi wote wa kanisa zigandishwe (frozen) ila kusubiri hatima

    Hao wahitaji ni akina nani umbwa wewe. Nyie mnafanya usenge mkiamini kuwa mtakula bata milele.
  10. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ole Sendeka: Natamani Tundu Lissu atoke gerezani aje ashindane na Rais Samia

    Mbona hamtaki tume huru? Tume ni ya kwenu na bado mnatumia vyombo vya dola kuwakandamiza CHADEMA?
Back
Top Bottom