Hiyo kitaalamu unaweza fanya kitu inaitwa termination of studies au deregistratiom of studies.. nenda kwenye chuo unachosoma andika barua maalumu ambayo itaeleza nia yako ya kuacha chuo nenda ofisi ya dean watakueleza mfumo wa barua hiyo na jinsi ya kuandika.. n.b hakikisha una sababu...
Kubadili coz sua ni process na inakuhitaji uwahi kwny week ya kwanza ya usajili.. na wanatoza sh. 50k... ila ushaur wangu kama ujaipenda iyo course ni bora uhailishe mwaka uapply tena mwakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.