Naomba kusaidiwa ufafanuzi wa mambo haya ya Chuo

Stavros Myles

JF-Expert Member
Jun 7, 2020
350
390
Hi kwa wana Jf wote.

Niende moja kwa moja kwenye topic. Je, kama unasoma chuo na unataka kughairisha masomo kwenye chuo husika inawezekana? yani iwe hivi unaweza ukaacha chuo unachosoma nakuenda ku apply chuo kingine?
 
Ndio lkn endapo ukaenda kwenye chuo ambacho ulikuwa unasoma alafu ukafuata taratibu husika ili wafute taharifa zako then utakuwa free kwenda chuo kingine

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hi kwa wana Jf wote.

Niende moja kwa moja kwenye topic. Je, kama unasoma chuo na unataka kughairisha masomo kwenye chuo husika inawezekana? yani iwe hivi unaweza ukaacha chuo unachosoma nakuenda ku apply chuo kingine?
Hiyo kitaalamu unaweza fanya kitu inaitwa termination of studies au deregistratiom of studies.. nenda kwenye chuo unachosoma andika barua maalumu ambayo itaeleza nia yako ya kuacha chuo nenda ofisi ya dean watakueleza mfumo wa barua hiyo na jinsi ya kuandika.. n.b hakikisha una sababu inayoeleweka... baada ya hapo nenda bodi ya mikopo kama umepata mkopo andika barua ya kusitisha mkopo.. na pia nenda tcu kaandike barua ya kuacha chuo ili wakutoe kwny system... kuwa mfatiliaji usibweteke utafanikiwa...
 
Mpaka afanikiwe bc hakuna rangi ataacha kuona
 
Back
Top Bottom