Kweli atashinda, mara kadhaa Huwa najiuliza mbona changamoto hizi za mirathi hatuzikii sana kwenye famili zenye asili za kiarabu na wahindi?
Au kwa vile ni wachache sana kati jamii yetu hii ya kitanzania?
Maana hiki sasa chanzo Cha familia kutengana, na kufilisika. Sijua nana alianzisha hii...
Ubinafsi ndio sababu kubwa inayowapofusha macho viongozi na watunga sera wetu. Hali inapelekea hadi ajira kutoangali uwezo katika kazi bali u nani wa nani.
Yaani kwako kiingereza ndo uongozi? Mbona unajumisha walimu wote wa primary, basi upewe wewe mwana Sheria ambaye hukusoma hiyo primary.
Yaani aliyefanya ukajua kusoma hicho kiingereza yeye hakijui duh! au ndo sifa za uchawa ?
Wakitumia fursa ya kuhamishwa itakuwa njema kwa chakuhawata, kwani walikotoka wameshapanda mbegu, wanakokwenda wataongeza mbegu, hivyo wapenzi wa chakuhawata wategemee ongezeko la wanachama. Shime washeni moto na huko ili mhamishwe tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.