Tahadhari kwa wateja wote wenye magari mnaoweka mafuta kituo cha Puma Sinza Kijiweni. Kituo hiki kina wahudumu Wanawake ambao ni wezi wenye ujasiri wa kutisha wa kuwaibia wateja mafuta mchana kweupe.
JINSI WANAVYOFANYA
Wanapouza mafuta kwa mteja, hasa wanaonunua mafuta kidogo chini ya sh elfu...
Jamani kwa heshima na taadhima, naomba kuwasihi viongozi wa kanisa Katoliki Parokia ya Sinza, wapunguze matangazo. Matangazo mara baada ya ibada hasa za jumapili ni marefu mnoooo, Wazungumzaji kibao na matangazo ni yale yale, kila mzungumzaji anayatoa kwa ufundi wake.
Kila kitu kifanyike kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.