Recent content by MTWA

  1. MTWA

    Miradi Mikubwa ya Bwawa la JKN na SGR Kama Kuna Udini Mbona Haijapingwa?

    Watu mnajizima data, Kama hao wote ni waarabu, sasa udini upo wapi? Lakini pia kumbuka mkataba huu shida kubwa ukomo. hao mikataba yao ilikuwa na ukomo. Na hilo tulikuwa na uhitaji mkubwa, bandari shida inayotajwa wizi upo wapi?
  2. MTWA

    Miradi Mikubwa ya Bwawa la JKN na SGR Kama Kuna Udini Mbona Haijapingwa?

    Ivi rais anaonewa kwa lipi? , mkataba una utata na yeye anaombwa aweke mkono wake uwepo ukomo hata miaka 30 lakini ijulikane. Kisiwepo kipengele cha kukataza kujitoa, sasa mkataba gani hata kama mkigombana bado mgeni ataendelea na shughuli? Labda mfunguke mseme hiyo kampuni nibya kwake kwahiyo...
  3. MTWA

    Miradi Mikubwa ya Bwawa la JKN na SGR Kama Kuna Udini Mbona Haijapingwa?

    Naunga mkono hakuna udini, waraka unazungumzia serikali ambayo ina Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu. Kwani hao ni dini? Dini inaanzia wapi? Hao ndiyo wanatafuta kutugawa kwamba Rais akitoka dini fulani basi nchi ni ya dini hiyo. Kwani tukisena serikali tunazungumzia dini ya Rais? Nyaraka zote...
  4. MTWA

    Kama misingi ni kutochanyanga dini na siasa, ilikuwaje CCM ikampitisha Askofu Gwajima kule Kawe?

    Mtakatifu unawafahamu wazinzi. Wachome moto. Hao akina Gwajima na mikono ya Baunsa nao pia ni mapadre.
  5. MTWA

    Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Wanalazimisha watu waseme vibaya. Mkataba umeoneshwa sehemu chache zenye mapungufu, dini hakuna ilipotajwa. Ila wao wanahangaika kupindishia kwenye dini kwakuwa wanaona huko ndiyo kitisho kikubwa zaid. Waache hizo tabia.
  6. MTWA

    Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Jamani msipotoshe, 1. Kila inapotokea kuna kitu kinalalamikiwa na watu (wala si wa dini moja) kitaifa hawa huwa wanatoa waraka. Mwaka 2018 walitoa kwa Magufuli.Alikuwa Muislam? 2. Waraka huu haujaenda kwa dini, unazungumzia mkataba, na wametaja vipengele vyenye shida, dini imetajwa wapi katika...
  7. MTWA

    Haya TEC wameshakuja na Tamko leo Jema, je, na Sisi wana JamiiForums Tamko letu litatoka Saa ngapi?

    Naunga Mkono TEC kuupinga kabisa mkataba huu. Bandari wanataka kumpa mwekezaji aendeshe kwa niaba yetu. ila. 1. Mkataba haujaweka mpaka wa utekelezaji umetaja nchi nzima bahari, maziwa yetu yote hadi anga na maeneo ya uwekezaji wenye mahusiano na bandari (mtego siku anaweza kuwazuia msiendelez...
  8. MTWA

    Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Basi wasio wa TEC wakae kimya. Kama wamesoma kanisani basi wasio wa kanisa haiwahusu na wakae kimya. Wakitaka kusema waseme kuhusu mambo yaliyomo humo na si waliosema ni akina nani. Wamesema yana maana?
  9. MTWA

    Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Hawajakosea kabisa. Wao wanahubiri maisha ya watu na kuokoa watu. Hata Yohana alichinjwa kwa kumkosoa mtawala katika mahubiri yake ndivyo wanavyofanya hawa. Kazi yao siyo kufufua misukule. Ni kukemea yasiyofaa, na kamwe hawawezi kuhubiri yasiyo kwa watu. Zungumzieni mambo waliyosema na point...
  10. MTWA

    Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Sijui ni kwanini Nchi hii watu walio serious na mambo makubwa. Hizi habari za udini watu wanazitoa wapi? Watu wamezungumzia kipengele kwa kipengele hiyo dini nani kataja? Kama suala ni viongozi wa dini kwani nani anayetetea au kukataa asiye na dini. Vema kujikita kwenye hoja. Vipengele...
  11. MTWA

    Bashiru aachwe tujadili hoja za kitaifa

    Imeshakuwa kawaida kumshambulia mtu anayekwenda kinyume na utaratibu wetu wa kila siku. Mikopo isiyokuwa katika mipango waliopinga, mijitu yoote iliwageukia wakasahau umeme unakatika, pembejeo bei juu. Leo huyu kasema kidogo tu, watu wote midomo juu na kumtaka ajiuzulu, badala ya kujadili...
  12. MTWA

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Duh huyu pia ana mawazo!
  13. MTWA

    GE2020 Mgombea Ubunge Shinyanga Mjini (CHADEMA) ashikiliwa na Polisi kwa kufanya fujo

    Ni ukweli mtupu, so far upigaji kura wa jana ilionekana tu hawa jamaa wangefika kupiga kura ingekuwa vurugu vurugu hivi. Lakini kulikuwa shwaaari. maeneo mengi. Kwa urais wengi walikuwa wa mjini tu vijijini hata hawamjui huyo mgombea maarufu. Hakuna namna wameshindwa na imeshakuwa. wajipange tena
  14. MTWA

    GE2020 Mgombea Ubunge Shinyanga Mjini (CHADEMA) ashikiliwa na Polisi kwa kufanya fujo

    Yaani shida ya kuwa mpinzani ni nini hata sijui. Sasa wewe mwenyewe ushatukana, Kwani mtu anaweza kuwa Pimbi? yaani shida sana
  15. MTWA

    GE2020 Mgombea Ubunge Shinyanga Mjini (CHADEMA) ashikiliwa na Polisi kwa kufanya fujo

    Ndiyo maombi yenu tangu awali. Economic sanctions, the Hegue, kuingia barabarani n.k na ndo zimewaondoa wapinzani. Sanctions zinawaendea nani sasa hata mziombe. Muda wote wanaombea mabaya tu nchi kwa manufaa ya viongozi au watu wa hali ya chini?
Back
Top Bottom