katika maisha kuna vitu vingi uwa vinatokea na kukosea kwa mwanadamu nikawada sana maana yeye ni mtu wala sio malaika sasa wewe ukianza kushutumu na kuraumu inakuwa haina maana sana maana kama watu wameisha ongea na kupatana katika Bwana wewe hata ukisema neno lolote alita badilisha kitu. dawa...
Kampeni za Gwajiboy nimezikubali kiukweli ni nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa anawasalimia wapiga kura wake.
Kura zetu umepata mzee Baba.
Wache wa upande wa pili waendelee kukereka mpaka wapasuke.
Hakuna atakaye kereka kwa taarifa yenu ndiyo kwanza anazidi kufahamika zaidi na mbaya zaidi mnampigia kampeni bila wenyewe kujijua.
#Kawe ya kijani
#Kawe ya Gwajima
Wakati wa kumchafua Gwajima ulishapita, kwa sasa mtakuwa mmechelewa sisi tunachojua katika jimbo letu Gwajima ndiyo tunamchagua kuwa Mbunge wetu wengine tupa kule.
Licha ya kulazimishwa ametoa kijitabu chake cha utekelzaji cha uongo kabisa na akasahau kama wanaosoma ni hao wana Kawe alio wadanganya
licha ya hayo alituahidi vitu vingi na hajatekelez hata kimoja mwisho wa siku katuletea kitabu chake cha uongo tukisome tena sisi wana Kawe
Amesahau kama...
Ww ndiyo ulikuwa unamrekodi hiyo video au umeskia kwa watu wakisema?
Wana Kawe tunahitaji maendeleo hatuitaji porojo Gwajima tutamchagua tu maana tunahitaji maendeleo ya kweli.
Huyu hakufaa kabisa kuwa kiongozi huku kwenye kata ya Mbweni Mtaa wa mpiji tunapata shida ya mafuriko kipindi cha mvua (hakuna mitaro) alituahidi kutusaidia lakini baada ya kuchaguliwa hakurudi tena Halima hafai kabisa kuchaguliwa tena.
Sauti ya Zege kikowapi tamaa mbele mauti nyuma achakufanya mambo bila kuwaza mala mbili taama zako zilikufanya usitutimize yale ulio aidi kwa wanakawe sisi hatutaki kukuona maana ndani ya miaka kumi toka ulivyo sema utatatua kero ya maji machafu yanayo toka kiwandani mpaka leo alf bado unakuja...
Daaah! Kumbe Halima alilazimishwa kugombea Ubunge?
Aisee Viongozi wa hichi chama siyo powa kabisa bora tu wangemuacha maana amekuja kukutana na Gwajiboy ndiyo amezidi kumchanga akili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.