Kama ulipata habari zake kuwa yupo basi fanya bidii za kumtafuta mpaka upate kujua kuwa yupo Ibrahimu alitaka kumchinja mwanae wa pekee Isaka kwa imani tu na akafanywa kuwa Baba wa mataifa sasa kama neno lake limeletwa kwetu tulichopewa ni kuamini na kumpenda kinyume cha hapo ni hatari kubwa sana.
Usalama wa binadamu kuhusu MUNGU upo kwenye kuliamini neno lake na msisitizo kuhusu kuendelea kuamini bila kukata tamaa pia upo kwanza soma biblia sana ndio ujue zaidi kuhusu yeye halafu amini sana kuhusu yeye ndio utajua kuwa yupo sababu wote waliompokea Yesu aliwapa uwezo wa kuwa wana wa MUNGU...
Na tatizo ulielewa au unaongea bila kuwa makini na malalamiko? Watu wakitoa changamoto jaribu kufikiria hadi mtu anagoma kakutana na changamoto ngapi tatizo ni sheria za kusajili store hawajakataa kusajili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.