Recent content by mtundu27

  1. mtundu27

    Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Leo kuna habari inatrend sana kuwa jiwe kasema makonda alipe kodi. Lakini je ni sahihi kwa mlolongo wa mambo yanavyoenda? Angekuwa mwingine angeshamtumbua kwanza kwa kuyakana hadharini yalipofika na pia kugoma kulipa kodi akitunishiana misuli na waziri. Hapa kaamua kuua so, zile trilioni na nusu...
  2. mtundu27

    William Malecela kupost nyaraka za ofisi ya mkuu wa Mkoa kwenye mitandao ya kijamii kinaendana na kiapo cha usiri alichoapa Mkuu wa Mkoa?

    Kila mara kwenye ndege na kufurahia kukandamizwa wapinzani. Yana mwisho lakini Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mtundu27

    Waitara: John Heche Alipata Sifuri Kidato Cha Nne, Anatumia Cheti Cha Dada Yake

    Kwahyo kina nape, na wenzie wanazunguka kusaidia kampeni, huwa wanawafunua chupi wabunge wa kiume. Kuna mijitu ni michizi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mtundu27

    Kata 4 za Mbeya Mjini wasimamizi wa uchaguzi wagoma kupokea fomu za wagombea katika kata 3

    Mnazidi kulalamika, iteni maandamano nchi nzima kiwake. Kila siku matamko as if tuko primary. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mtundu27

  6. mtundu27

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Maana kwa mambo yanavyoenda watz tunadharaulika sana, yaani mijitu inaamua tu kufanya watakavyo as if wengine ni wanyama Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mtundu27

    Hivi kushinda kwa kushawishi kuna shida gani?

    Habarini wadau na niwatakie heri ya sikukuu katika hii sherehe ya EID, mungu awabariki. Katika bara la Africa kumekuwa na tatizo kubwa sana la viongozi kutaka kung'ang'ania madaraka huku wakihubiri democrasia, na kusema wananchi wanawaunga mkono. Tumeliona hili Zimbabwe, mtu mpaka amekuwa...
  8. mtundu27

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hizo njia ni zipi zenye haki? Kote ni upuuzi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mtundu27

    Tanzania inabidi kiwake tuheshimiane!

    Habarini wadau. Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana. Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine. Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano...
  10. mtundu27

  11. mtundu27

  12. mtundu27

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Habarini wadau. Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana. Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine. Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano...
  13. mtundu27

    Tanzania inabidi kiwake tuheshimiane!

    Habarini wadau. Hii nchi ilipofika nahisi panabidi pawake kwanza wenda tutaheshimiana. Yaani ccm wanaendesha nchi kama mungu aliwaambia hii nchi nawapa ccm tu hamna wengine. Yaani hawa watu wanachofanya ni zaidi ya uonevu, na mijitu imekaa kila siku kuwashangilia ili wapewe uongozi, kwa mfano...
  14. mtundu27

  15. mtundu27

Back
Top Bottom