Recent content by Mtundu wa Tech

  1. Mtundu wa Tech

    Wamiliki wa vituo vya TV tunaomba muwakumbuke na walemavu wa usikivu hafifu au hawasikii kabisa.

    NAAM MKUU ITAWASAIDIA WALEMAVU WENGI SANA KUELEWA NA KUPENDA KUFUATILIA HIZI CLIPS NA VIPINDI VYA TV
  2. Mtundu wa Tech

    Wamiliki wa vituo vya TV tunaomba muwakumbuke na walemavu wa usikivu hafifu au hawasikii kabisa.

    Habari ndugu zangu! Binafsi naendelea vizuri Alhamdulillah! Nina ombi ama ushauri wangu kwa wadau wa matangazo kupitia vituo vya runinga pamoja na bodi nzima ya urushaji au wamiliki wenyewe wa hivi vituo wawafikirie zaidi walemavu wa kusikia(viziwi). Kama tujuavyo kuwa katika uziwi...
  3. Mtundu wa Tech

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tuletee na wewe chai yako
  4. Mtundu wa Tech

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Kitabu cha kusadikika na utawadanganya sana watu wasioelewa ila watu wanaoelewa kuhusu haya mambo sidhani kama watapoteza muda kusoma hicho kitabu
  5. Mtundu wa Tech

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Dah uzi huu bhaana eti mungu wa walokole dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanajimu wote waongo tu na hata hao waloloke nao waongo tu labda dini ya wachawi
  6. Mtundu wa Tech

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Unaongelea hawa walokole tunaowakulaga kimasihara mitaani huku au akina nani hao?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Mtundu wa Tech

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nilichokipendea ni hii sheng ya kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Mtundu wa Tech

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]We jamaa bhaana Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  9. Mtundu wa Tech

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]rickboy Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  10. Mtundu wa Tech

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  11. Mtundu wa Tech

    Nahitaji mke

    Hongera sana mkuu kwa kupata mke karibu chamani ila ishu za UWABATA achana nazo
  12. Mtundu wa Tech

    Nahitaji mke

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]We jamaa bhaana
  13. Mtundu wa Tech

    Natafuta mume, nina miaka 30

    Unatafuta mume au mke?
Back
Top Bottom