Recent content by Mtumpya

  1. M

    NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    Yako wapi matokeo ya Ndamhi Sec? Center number ni S5066.
  2. M

    NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    S0387/0089 M 18 II CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'B' KISW - 'C' ENGL - 'A' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' AGRI - 'D' B/MATH - 'C' He can see for himself by sending MATOKEO*F4*2017*S0387*0089 to 0759350150
  3. M

    Mwenye past papers za English 1 na 2; Kiswahili 1 na 2 anisaidie

    Jaribu Maktaba ya TETEA: Form Six Exams (ACSEE) – Maktaba
  4. M

    Elimu ya Kupitia Simu

    Ukituma MSAADA kwa 0759350150 utapata orodha ya features zifuatazo: NOTES, MAANA, MASWALI, MATOKEO. Ukituma jina la feature utapata maelezo zaidi. Kwa mfano, ukituma MATOKEO utapata ujumbe huu: "Tuma ujumbe kama MATOKEO*F4*X*Y*Z, lakini badala ya X andika mwaka, badala ya Y andika namba ya...
  5. M

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Matokeo yanapatikana kwa kupitia TextTETEA sasa. Tuma MATOKEO kwa 0759350150 kupata maelekezo.
  6. M

    Kwa mwalimu wa Geography

    Lakini sun rays zinafika Pluto. Unaongelea kuhusu chombo kinachoitwa New Horizons? Kimeshapita Pluto mwaka uliopita. New Horizons - Wikipedia, the free encyclopedia
  7. M

    Kwa mwalimu wa Geography

    Duaz amesha andika sifa za sayari hapo juu kwa kiingereza. Labda tovuti hizi zitasaidia. Sayari - Wikipedia, kamusi elezo huru Sayari kibete - Wikipedia, kamusi elezo huru
  8. M

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    inategemea. unaweza kutengeneza chumba cha chuma imara ambacho hakitakunja. lakini kama chuma ni chembamba, kitakunja pia.
  9. M

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    unapovuta hewa unapunguza PRESSURE ndani ya kopo kwa hiyo PRESSURE ndani ya kopo itakuwa ndogo kuliko ATMOSPHERIC PRESSURE (nje ya kopo). na pressure = force/area. forces za nje zitakuwa kubwa kuliko forces za ndani na zitasababisha kopo ikunje.
  10. M

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Mwulize aliyetunga swali. Labda mzee Yagayaga alinunua angalau ng'ombe mmoja pamoja na watu wengine.
  11. M

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    waliokufa + wagonjwa + wazima = jumla ya ng'ombe waliokufa/jumla + wagonjwa/jumla + wazima/jumla = jumla/jumla 1/4 + 1/5 + 180/jumla = 1 180/jumla = 1 - 1/4 - 1/5 180/jumla = 20/20 - 5/20 - 4/20 180/jumla = (20 - 5 - 4)/20 180/jumla = 11/20 180*20 = 11*jumla 180*20/11 = jumla jumla =...
  12. M

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    A laboratory is a room or building that is dedicated for performing scientific experiments, research, or teaching. A laboratory technician is someone who works in a laboratory taking care of equipment, running experiments, etc.
  13. M

    Elimu ya Kupitia Simu

    Msaada ni bure, lakini kuna gharama za SMS.
  14. M

    Elimu ya Kupitia Simu

    Rafiki zangu nami tumetengeneza njia ya kupata nyenzo za elimu za O-level kwa kupitia simu. Masomo yanayopatikana kwa sasa ni Uraia, Historia, Jiografia, Biolojia, Kemia, na Fizikia. Kuijaribu tuma MSAADA kwa 0759350150 na utapewa maelekezo.
Back
Top Bottom