Recent content by mtumishi mwema kcmc

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    hivi jamani tusidanganyanyane....CT scan moja ni 150,000 baada ya kupandishwa gharama kwa siku ni ukiweka wagonjwa 10 ni 1.5M kwa mwezi ni nearly 45M ukiweka kwa mwaka ni nearly 500M yani 0.5Billion kwa miaka miwili ni 2billions je waweza kutuambia hizi pesa ziko wapi.mashine iliyokuwepo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    pengine lile gari alilolikuta lilikuwa linamkera na zile korongo na akaona anunue v8 ambayo mara nyingi huendesha mwenyewe huku madereva wakikaa vijiweni...na hapo ndo utamjua mtu mlaji.....ile barabara ni mbovu na hairekebishwi kama hamuamini jamani njooni mjionee wenyewe......na hili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    kauli yako yaonesha wewe umekereketwa wadai ushahidi ,njoo kcmc ujioneee na wewe kama nani hii itolewe ,yaani wewe huoni huruma juu ya maisha ya watanzania wenzako wanaokufa na kurudishwa kila siku huku wakikosa dawa za operasheni,yaani shame on you.....usiwe kama Nazi inayokoroma.uliza uambiwe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    Pengine ukisema hivyo wakosea.Prof.Shao is Iconic Man na uhalisia ukiona wengi nwanampenda mtu ni vyema ujiulize ndugu ntabaye umefikia wapi.najua ni sintofahamu yako juu ya matendo na kauli zako ndiyo chanzo cha kukuingiza wewe na mh.malasusa kaburini huku damu na maisha ya watanzania yakizidi...
  5. M

Back
Top Bottom