Recent content by Mtumishi Anyi

  1. M

    Taja kazi/ biashara unayofanya ili upate connection

    Fundi tv aina zote, radio, sabufa, feni, pasi, nk nakuja popote ulipo kwa wakazi wa dar 0766428475
  2. M

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa laki 8 Chalinze

    Hiyo ndiyo bei ya kiwanja, kiufupi nilinunua Kiwanja kwa hao jamaa, wanaitwa SINAYI REAL ESTATE COMPANY, baada ya kupatwa na dharula niliwaomba wamuuzie mtu mwingine ili nipate hela yangu, walijambia haiwezekani ila mimi mwenyewe nimtafute mteja nimpeleke ofsini kwao kwa ajili ya kubadilisha mkataba
  3. M

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa laki 8 Chalinze

    Kiwanja kinapatikana chalinze, ni mita 20/16, ni karibu na barabara kuu ya Morogoro, na shule ya Pingo secondary, huduma zote zipo; umeme, maji ya bomba. Kiwanja kimepimwa na kipo ndani ya Mardi wa makazi, bei ni Tsh 800,000/= Call/ WhatsApp; 0766428475 Katika ramani ni Kiwanja namba 21
  4. M

    Fundi Vifaa vya umeme

    Kwa matatizo yote ya TV, ( iwe imezima ghafla, imeungua taa, kioo haikionyeshi, picha ina vibrate, inaonyesha nusu n. K) karibu, tukudumie kwa gharama nafuu, kwa wakazi wa dar popote tunakufikia, pia tunatengeneza, subwoofer, radio, home theater na vifaa vingine vya umeme. Call/sms/whatsapp...
  5. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    hizo IC zinapatikana kariakoo, nichek 0766428475 whatsapp
  6. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Kioo kimecrek au iko vip, au whatsapp me 0766428475
  7. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Ni aina gani? ukiwezekana nitumie details zake whatsapp maybe nawezapata Ic zake, 0766428475
  8. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Dukani kinauzwa 250k
  9. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Hapo ni kununua kioo kingine mkuu
  10. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Sio lazima kubadilisha, ni kuzifanyia uchunguz kwaza kama ni za kubadilisha au kurepair hizohizo, kwa hio gharama
  11. M

    Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

    Eleza shida yako mkuu, mi nakuja tu, nina experience nahii kazi kwaio usiwe na was
Back
Top Bottom