Wanabodi habari za siku nyingi?
Zililetwa 'nyaraka' humu kuhusu sakata la ujenzi wa gati ya 13 na 14 bandarini,lakini ukweli ni kuwa waliozileta wamekuwa 'selective', kwa kuchagua zile tu ambazo zitamu-implicate Waziri mzalendo Nundu na kwa mtiririko ambao unaleta picha wanayoitaka iaminike...
Museveni hakuomba msaada wa AU ktk vita yake ya kaskazini, Bashir hataki msaada wa askari wa nchi nje. Kesi zote hizi pamoja na ya Zimbabwe hazilingani na kesi ya Comoro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.