Recent content by Mtu wa Mduara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Ukitaka kulima kilimo cha kibiashara ni muhimu kwanza kuangalia soko linataka bidhaa ya aina gani na kiasi gani. Soko rahisi na la haraka ni hapo Middle east lakini pia ni lazima uwe tayari kuwekeza vya kutosha.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Yes angalau kwenye aina ya Anna F1, Eden F1 na Assila F1. Pia Presidente F1
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Nitafanya jaribio la huo ushaori wako nione matokeo kwa Tikiti aina ya Patanegra F1
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Nyanya zinalipa sana hapa Dar hasa ukikubali kuwekeza Muda wako na pesa pia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Waheshimiwa wana JF, hapa ni mwanachama mpya katika kuendeleza forum hii. Asanteni Sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Nikipata e mail yako nitakutumia brochure ya nyanya aina ya Anna F1, Assila F1 na Aden F1
Back
Top Bottom