Watanzania mnajifanya hamsadiki uchawi wakati miili yenu yote imejaa chale za waganga,90% ya wanaoponda Uzi wangu ukigagua miili yao utakuta imejaa chale
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya matukio ambayo sitayasahau maishani mwangu ni tukio la kuoa mwanamke mchawi mkoani Tabora ktk kijijini cha Nkinga.
Mwanamke huyu mrembo ambaye tayari nina watoto naye ni mchawi hatari aliyejificha kwenye kivuli cha ulokole huku akiwa mwanakwaya wa kwaya ya Evangelical choir ktk kanisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.